#Gender Rights and Issues
Target:
Kupinga na kushindikiza sheria dhidi ya utumwaji wa matukio ya kuzalilisha wanawake
Region:
Tanzania
Website:
www.millardayo.com

Watanzania,
kumekuwa na wingi wa matukio ya uzalilishaji wa wanawake kwenye mitandao ya kijamii picha zinazoonyesha wakiwa watupu,wakipigwa wakibakwa na kunyanyaswa.
Kinachosikitisha ni wanaofanya matukio kama haya kutochukuliwa hatua.

Pamoja tunaweza kuondoa udhalilishaji wa wanawake.
Tafadhali Sign petition hiii kuonyesha kupinga udhalilishaji huu.
Tafadhali saidia utungaji na ufatiliaji wa sheria ya kupinga unyanyasaji wa wanawake.
Tafadhali saidia kusambaza ujumbe huu kwa watu wengi zaidi.

GoPetition respects your privacy.

The Uzalilishaji wa wanawake kwenye mitandao petition to Kupinga na kushindikiza sheria dhidi ya utumwaji wa matukio ya kuzalilisha wanawake was written by 21st century ladies and is in the category Gender Rights and Issues at GoPetition.