#Human Rights
Target:
Tanzanians
Region:
Tanzania
Website:
www.humanrights.or.tz

Tarehe 20 Juni 2013 Mheshimiwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alitoa tamko katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiruhusu polisi kuwapiga raia pale ambapo hawataheshimu sheria.

Wito ni kuwataka wananchi wa Tanzania waandike na kuweka saini kumtaka mheshimiwa waziri mkuu kufuta kauli yake inayoruhusu polisi kupiga raia katika hotuba yake ya kufunga Bunge la bajeti tarehe 27 Juni 2013.

GoPetition respects your privacy.

The Wito kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania petition to Tanzanians was written by Legal and Human Rights Centre and is in the category Human Rights at GoPetition.