Active petitions in over 75 countries World Times
TUNAHIHITAJI KATIBA MPYA
2 Signatures
Published by Edward chacha on Aug 22, 2007
Region: Tanzania
Target: Watanzania
Background (Preamble):
Kwa miaka mingi sasa, wazo la kuifanyia mabadiliko makubwa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, limekuwa likitolewa na viongozi kutoka vyama vya upinzani lakini utelekezaji wake umekuwa sifuri kutokana na serikali kupuza madai ya katiba mpya yanayozidi kutolewa siku hadi siku.

Imefikia wakati sasa wananchi tuamke na kudai mabadiliko hayo kwa hali na nguvu zote.

Ukweli ni kwamba, katiba haiwezi kubadilishwa mpaka pale wananchi watakapo amua kuishinikiza serikali kufanya hivyo.
Petition:
...Kwa mujibu wa Warioba, Bunge limeanza kupoteza mwelekeo wake wa kusimamia utendaji wa serikali. Na kutokana na mazingira ya sasa ya kikatiba, taratibu limeanza kugeuzwa kuwa chombo ambacho kinasimamiwa na serikali...

The TUNAHIHITAJI KATIBA MPYA petition to Watanzania was written by Edward chacha and is hosted free of charge at GoPetition.


Promote this petition with a popular social bookmarking service [?]: